Wakati Watanzania tukimkumbuka Mwalimu, nimeona nirejee nyuma hadi mwaka 1999 ili kuangalia majarida ya magharibi yalivyoandika mara baada ya kifo chake. Kufanya hivi ni kukumbuka mabaya yaliyozungumzwa kuhusu Mwalimu ili tuyajadili madai haya na kutufanya tuyaenzi mazuri yake.
Jarida linalozungumzia watu maarufu duniani lijulikanalo kama Forbes, baada ya kifo cha Mwalimu liliandika hivi “The death of Julius Nyerere, African independence leader and longtime dictator of Tanzania, evoked a flood of encomiums worldwide. The praise is misplaced. Nyerere’s approach devastated much of postcolonial Africa (Forbes, 1999).http://www.mwananchi.co.tz/…/1597592-3416820-mqy…/index.html
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni