Ijumaa, 14 Oktoba 2016

MAKOSA YA NYERERE YALITENGENEZA NYUFA ZA UTAIFA


Ni vigumu kuandika kwa lengo la kumkosoa mtu anayeheshimiwa na wengi kiasi cha kuitwa Baba wa Taifa la Tanzania na mengi mazuri ya nchi yetu ikiwamo amani, umoja na mshikamano ambavyo vinatajwa vilitokana na uongozi wake mzuri ulioweka misingi imara ya utaifa na maendeleo.
Inakuwa ngumu unapokusudia makala yako itoke kipindi ambacho watu wanakumbuka kifo chake kwa matamasha, mikutano, sherehe, huku wito ukitolewa kuzidi kumuezi ...
Tazama Zaidi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni