IDELPHONCE ALPHONCE
Ijumaa, 14 Oktoba 2016
RAMANI MBALIMBALI ZA NYUMBA
Helo guys... Kwa jina naitwa john Alphonce ni mtaalamu wa uandaaji na uchoraji wa Ramani za nyumba za kuishi. Nipo mkoani mbeya, wilaya ya mbeya mjini kata ya mwakibete mtaa wa itongo. Kwa sasa bado naendelea na mafunzo ya uhandisi wa ujenzi katika chuo kikuu cha sayansi na teknolojia yaani MUST.
Basi, kwa yeyote anayehitaji ramani za nyumba za kuishi anaweza kunipata kwa haraka zaidi kwa mawasiliano haya
255765823246 au 255672583447
.
ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI!!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni